Simba yaanza maandalizi ya 'dozi' ya Yanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Feb 2019
Simba yaanza maandalizi ya 'dozi' ya Yanga

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Ahly jana, kikosi cha Simba leo kimeendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Boko Veterans kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi, Februari 16 katika dimba la Taifa

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems hakutaka kuwahamisha wachezaji wake kwenda nje ya jiji la Dar es salaam kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo

Hii itakuwa mara ya pili kwa Simba kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga ikiwa katika jiji la Dar es salaam

Katika mchezo wa mzunguuko wa kwanza, Simba pia haikutoka nje ya jiji la Dar es salaam

Wakati Simba ikijifua jijini Dar es salaam, wapinzani wao Yanga wamejichimbia mkoani Morogoro

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
48m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’