Manara ataka Simba iheshimiwe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Feb 2019
Manara ataka Simba iheshimiwe

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya vigogo wa Afrika Al Ahly hapo jana, msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka wachambuzi wa soka nchini waiheshimu timu hiyo na kutambua kuwa lolote linaweza kutokea katika mchezo wa mpira wa miguu

Manara amesema wapo baadhi ya wachambuzi waliinyima nafasi ya kufanya vizuri Simba kwenye kundi D baada ya kuwa imepangwa na Al Ahly, Vita Club na JS Saoura

Hata hivyo baada ya kukamilika kwa michezo ya mzunguuko wa nne hapo jana, Simba inashika nafasi ya pili ikiwa na alama sita nyuma ya Al Ahly yenye alama saba

"Zipo wapi zile asilimia mia nane kuwa Simba itakuwa kibonde wa timu zote Kwenye group letu? Hebu muwe mnaufahamu mchezo huu na miiko yake na muache kuropoka," amesema Manara

"Soka sio mchezo kama Draft wakati mwingine hutoa matokeo ya kushangaza kidogo na hupaswi kumdharau yoyote yule na ndio maana tulifungwa hata na Mashujaa!! Kwa sasa sio tu tunayo nafasi ya kufuzu Robo fainali bali tunaweza hata kuongoza kundi sisi underdog!!"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’