Kagere awania kiatu cha dhahabu ligi ya mabingwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Feb 2019
Kagere awania kiatu cha dhahabu ligi ya mabingwa

Jana mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere alifunga bao lake la nne katika michuano ya ligi ya mabingwa Barani Afrika msimu huu na hivyo kumfanya kuwa miongoni mwa washambuliaji wanaoongoza katika orodha ya wapachikaji mabao

Kagere anashika nafasi ya pili nyuma ya Jean-Mark Makusu wa AS Vital Club aliyefunga mabao matano kuanzia raundi ya kwanza ya michuano hiyo

Katika orodha hiyo ya vinara wa mabao pia wamo Tresor Mputu - TP Mazembe (3), Karim Nedved - Al Ahly (3), Themba Zwane - Mamelodi (3), Jackson Muleka - TP Mazembe (3), Kelvin Mondeko - TP Mazembe (3), Ocansey Mandela - Horoya (3), Justine Shonga - Orlando Pirates (3), Mohammed Nahir - Widad Casablanca (3) na Moataz Al Mehdi - Al Nasr Bengaz (3)

Wachezaji wengine wa Simba ambao wamefunga mabao katika michuano hiyo kuanzia raundi ya kwanza ni Clatous Chama, Emmanuel Okwi, John Bocco na Jonas Mkude

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’