Simba leo imewafurahisha mashaiki wake kwa kuibuka na ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa ligi ya mabingwa, raundi ya nne kundi D
Katika mchezo wa leo Simba ilistahili ushindi kwani ilikuwa katika kiwango bora sana
Ushindi huu hauzungumzwi Tanzania pekee, ni bara lote la Afrika kwani ukubwa wa Al Ahly unafahamika
Ushindi huu pia umekiweka kikosi cha Simba katika mazingira mazuri kuelekea mchezo dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi, Februari 16 katika dimba la Taifa
Hakika mchezo ujao dhidi ya Yanga yanaweza yakashuhudiwa maafa kama yale ya mwaka 2012 ambapo Simba liifumua Yanga mabao 5-0
Simba imedhihiri kuwa na kikosi bora sana. Ushindi huu dhidi ya Al Ahly umeongeza morali ya wachezaji kuelekea mchezo wa Jumamosi
ADVERTISE HERE