Tiketi mpambano dhidi ya Al Ahly zinapatikana vituo hivi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Feb 2019
Tiketi mpambano dhidi ya Al Ahly zinapatikana vituo hivi

Tiketi za mchezo wa kesho wa ligi ya mabingwa kati ya Simba dhidi ya Al Ahly tayari zimeanza kuuzwa na zinapatikana katika vituo vifuatavyo;

Katika hatua nyingine uongozi wa Simba umeachana na mpango wa kuuza tiketi za Platinum ambazo thamani yake ni Tsh 100,000/-

Taarifa iliyotolewa na Simba mapema leo imesema kwa wale ambao walikuwa wameshakata tiketi hizo watarudishiwa pesa zao

Viingilio vya mchezo huo;

VIP A Tsh 15,000/-

VIP B Tsh 10,000/-

Mzunguuko Tsh 2,000/-

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’