Ismailia yarudishwa ligi ya mabingwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Feb 2019
Ismailia yarudishwa ligi ya mabingwa

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetengua uamuzi wake wa awali wa kuiondosha Ismailia ya Misri kwenye michuano ya ligi ya mabingwa na kuirudisha timu hiyo katika mashindano hayo

Awali Ismailia iliondoshwa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa baada ya mashabiki wake kufanya vurugu kwenye mchezo dhidi ya Club Africain uliomalizika kwa wenyeji kuchapwa mabao 2-1

Taarifa iliyotolewa na CAF jana imebainisha kuwa timu hiyo imeshinda rufaa yake hivyo itaendelea kushiriki michuano hiyo ambayo inaingia raundi ya nne kesho

Ismailia iko kundi C pamoja na CS Constantine, TP Mazembe na Club Africain

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’