Tunao uwezo wa kuwafunga Al Ahly uwanja wa Taifa - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Feb 2019
Tunao uwezo wa kuwafunga Al Ahly uwanja wa Taifa - Manara

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa timu hiyo wajitokeze kwa wingi uwanja wa Taifa siku ya Jumanne ambayo Simba itashuka dimbani hapo kuikabili Al Ahly kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika

Manara amesema anatambua mchezo huo utakuwa mgumu lakini anafahamu sio jambo rahisi kwa timu yoyote kuifunga Simba mbele ya mashabiki wake

"Tunakwenda kuwakabili Al Ahly tukijua ni mchezo mgumu lakini Simba sio timu ya kufungwa nyumbani kirahisi," amesema Manara

"Tutatafuta alama tatu kwa ari kubwa kuliko Ahly wanavyofikiria"

"Lakini muhimu tujue silaha yetu kuu ni nguvu ya Mashabiki pale Taifa. Hakuna namna yoyote ya kushinda huu mchezo kama Wanasimba hawatajitokeza kwa wingi Uwanjani Jumanne hii"

"Na kwa nini usije uwanjani wakati tumeweka viingilio rahisi?"

Kiingilio cha chini kabisa kwa Mzunguuko ni Tsh 2,000/- wakati VIP A ni Tsh 15,000/- na VIP B ni Tsh 10,000/-

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
12h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
15h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’