Magori akabidhiwa jukumu la kusaka kocha Msaidizi Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Feb 2019
Magori akabidhiwa jukumu la kusaka kocha Msaidizi Simba

Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori ndiye aliyeachiwa jukumu la kusaka kocha Msaidizi wa klabu ya Simba

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Mohammed Dewji 'Mo' alisema walikubaliana katika kikao cha Bodi ya Wakurugenzi kilichofanyika mapema wiki hii jijini Dar es salaam

Mo alisema utaratibu uliotumika kumpata Aussems ndiyo utakaotumika kumpata kocha msaidizi ambapo Magori atashirikiana na jopo la makocha na wataalam ambao wataandaliwa

Tangu Simba ilipoachana na Masudi Djuma Oktoba mwaka jana, nafasi ya kocha msaidizi bado iko wazi

Kocha wa KMC Etiene Ndayiragije anatajwa kuwa miongoni mwa makocha wanaopewa nafasi kubwa ya kujaza nafasi hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’