Ndayiragije ahusishwa kutua Msimbazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Feb 2019
Ndayiragije ahusishwa kutua Msimbazi

Imeripotiwa kuwa Uongozi wa Simba uko kwenye mazungumzo na kocha wa KMC Etienne Ndayiragije anayetajwa kukaribia kuchukua mikoba iliyoachwa na Masudi Djuma kuwa kocha msaidizi wa Simba

Tangu imtimue Djuma mwezi Oktoba mwaka jana, Simba haikuwa na kocha msaidizi ambapo kocha Mkuu Patrick Aussems amekuwa akifanya kazi peke yake kwa zaidi ya miezi mitatu

Ndayiragije aliyewahi kuinoa Mbao FC kwa mafanikio makubwa mwaka 2017 akiifikisha fainali ya michuano ya kombe la FA, pia amekuwa na mafanikio na kikosi cha KMC kinachoshika nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi

Jina lake lilipendekezwa kwenye kikao cha Bodi ya Wakurugenzi kilichofanyika juzi jijini Dar es salaam

Baada ya timu kukabiliwa na matokeo mabaya katika michezo miwili ya michuano ya ligi ya mabingwa, wadau waliushauri uongozi wa Simba kumtafutia Aussems kocha msaidizi kwani kuendelea kumuacha afanye kazi peke yake halikuwa jambo jema

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’