Mchezo dhidi ya Al Ahly kupigwa saa kumi jioni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Feb 2019
Mchezo dhidi ya Al Ahly kupigwa saa kumi jioni

Mchezo wa raundi ya nne michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya Simba dhidi ya Al Ahly utapigwa Jumanne ijayo Februari 12 ukitarajiwa kuanza saa kumi kamili jioni

Al Ahly vinara wa kundi D wanatarajiwa kuwasili nchini kesho Jumamosi

Siku hiyo pia kutakuwa na mchezo mwingine wa kundi D kati ya JS Saoura dhidi ya AS Vital Club utakaopigwa nchini Algeria saa nne usiku

Simba inahitaji kuibuka na ushindi kwenye mchezo dhidi ya Al Ahly huku ikiomba matokeo ya mchezo wa Algeria yamalizike kwa sare

Kwani kama Simba itashinda na JS Saoura na Vita zikashindwa kufungana, itapanda hadi nafasi ya pili

Kwa sasa Al Ahly inaongoza kundi D ikiwa na alama saba ikifuatiwa na AS Vita Club yenye alama nne

Simba iko nafasi ya tatu ikiwa na alama tatu wakati JS Saoura inaburuza mkia ikiwa na alama mbili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’