Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba imekutana leo katika kikao chao cha pili kwa mwaka huu 2019
Kikao hicho kilikuwa maalumu kwa ajili ya kujadili maendeleo ya timu
Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji aliongoza kikao hicho



ADVERTISE HERE