Wakati mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania Bara Simba wakitarajiwa kushuka dimba la Taifa kesho kuikabili Mwadui FC, ligi hiyo leo inaingia raundi ya 25 kwa michezo saba kupigwa
Hii hapa Ratiba ya Michezo yote ya leo;

ADVERTISE HERE