Aliyekuwa winga wa Simba Shiza Kichuya jana alianza rasmi kuitumikia timu yake mpya ya ENPPI katika mchezo wa ligi kuu ya Misri dhidi ya Al Ahly
Katika mchezo huo Al Ahly iliyokuwa ugenini ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1
Kichuya alisajiliwa na klabu ya Pharco Fc inayoshiriki ligi daraja la pili kisha akatolewa kwa mkopo klabu ya ENPPI
ADVERTISE HERE