Bado sijakata tamaa - Mo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Feb 2019
Bado sijakata tamaa - Mo

Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amesema ameumizwa na matokeo ya Simba ya vipigo katika michezo miwili ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Hata hivyo amesema hawezi kukata tamaa kwa kuwa hata Roma haikujengwa kwa siku moja

"Roho yangu bado inaniuma. Naipenda sana Simba, na bado sijakata tamaa. Roma haikujengwa kwa siku moja," ameandika Mo kwenye ukurasa wake wa Instagram

Simba ilifungwa mabao 5-0 na Vita Club kisha kufungwa tena mabao 5-0 na Al Ahly juzi matokeo ambayo yamewaumiza Wana Msimbazi wote wanaoipenda timu yao

Mabingwa hao wa Tanzania Bara watakuwa na nafasi ya kulipa kisasi dhidi ya timu hizo zitakapokuja kucheza kwenye dimba la Taifa jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’