Mchezo dhidi ya Mwadui Fc kupigwa Feb 07

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Feb 2019
Mchezo dhidi ya Mwadui Fc kupigwa Feb 07

Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Simba dhidi ya Mwadui Fc utapigwa siku ya Alhamisi, Feb 07 kwenye dimba la Taifa saa moja kamili jioni

Baada ya mchezo huo Simba itaendelea na maandalizi kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly utakaopigwa uwanja wa Taifa Jumanne ijayo, Februari 12 2019

Siku nne baadae Simba itashuka tena katika dimba la Taifa kuikabili Yanga kwenye mchezo unaosubiriwa kwa hamu na Wana Msimbazi

Februari 19 Simba itaelekea mkoani Arusha kuikabili African Lyon kabla ya kurejea jijini Dar es Februari 22 kuivaa Azam Fc

Februari 26 itakwenda Iringa kucheza na Lipuli Fc

Msafara wa kwanza wa Simba uliokuwa Misri umetua leo ukiwa na baadhi ya wachezaji huku wengine wakitarajiwa kuondoka Misri leo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
15h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
15h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
18h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’