Kundi la kwanza la msafara wa kikosi cha Simba limewasili leo jijini Dar es salaam wakitokea Misri kuikabili Al Ahly katika mchezo wa ligi ya mabingwa
Baadhi ya wachezaji, viongozi na benchi la ufundi wamewasili mchana wa leo Jumatatu uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JNIA
Kundi la pili linaondoka Misri leo
Simba ililazimika kuondoka kwa 'mafungu' nchini Misri kutokana na changamoto ya usafiri baada ya Al Ahly kubadili muda wa mchezo
Awali Simba ilipaswa kusafiri juzi usiku baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya Al Ahly
ADVERTISE HERE