Manara awataka mashabiki Simba wasikate tamaa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Feb 2019
Manara awataka mashabiki Simba wasikate tamaa

Mkuu wa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara amesema kipigo cha jana dhidi ya Al Ahly kimemuumiza kila Mwana Msimbazi lakini jambo la msingi ni kutokata tamaa hasa ikizingatiwa bado Simba ina michezo miwili nyumbani

Manara amesema kimahesabu, Simba bado ina nafasi ya kusonga mbele hatua inayofuata kama itashinda michezo miwili ya nyumbani dhidi ya Al Ahly na Vita club

"Poleni sana Wanasimba wote. Najua mnavyojisikia sasa ila niwaambie hesabu zipo kwetu"

"Kama ninavyowaambia mara zote,lazima tupate alama tisa za nyumbani."

"Ndio, tukifanikiwa kushinda mechi mbili zilizobaki za nyumbani,wanaowacharura leo watawapa hongera," ameandika Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram

Simba itarudiana na Al Ahly wiki ijayo katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Taifa kabla ya kuelekea nchini Algeria kuikabili JS Saoura

Simba itamaliza mchezo wake wa mwisho katika dimba la Taifa kwa kuikabili Vita Club kutoka DR Congo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’