Kocha Al Ahly aihofia Simba, alia na majeruhi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Feb 2019
Kocha Al Ahly aihofia Simba, alia na majeruhi

Kocha wa Al Ahly Martin Lasarte amesema mchezo wa leo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Simba hautakuwa mwepesi kutokana na kila timu kutaka alama tatu huku akilia na kikosi chake kuwa na wachezaji wengi majeruhi

Aidha kocha huyo raia wa Uruguay anadai wachezaji wake wana uchovu kwa kuwa wamekuwa wakishuka dimbani kila baada ya siku tatu

Al Ahly inaweza kuwakosa baadhi ya wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ambao ni majeruhi

Wachezaji ambao wataukosa mchezo huo ni Ahmed Fathy, Walid Soliman na Mohammed Naguib.

Wengine walio kwenye hatihati ya kukosa mchezo huo kutokana na kuwa majeruhi ni pamoja na Ramadhan Sobhi, Yasser Ibrahim na Hamdy Fathy

Aidha timu hiyo imethibitisha nahodha wake Hossam Ashour aliyekuwa majeruhi amerejea kikosini na atakuwa sehemu ya wachezaji watakaoshuka dimbani kuikabili Simba leo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’