Simba tayari iko katika jiji la Alexandria nchini Misri leo ikitarajiwa kufanya mazoezi yake ya kwanza kujiandaa kuwakabili Al Ahly katika mchezo wa ligi ya mabingwa utakaopigwa Jumamosi, Februari 02 2019
Kwa sasa Misri ni majira ya baridi kali, wachezaji wa Simba wamechukua tahadhari kuhakikisha baridi hiyo haiwaathiri
Bila shaka mpaka Jumamosi watakuwa wameizoea hali hiyo na watakuwa tayari kuwakabili Al Ahly katika mchezo ambao Simba inahitaji ushindi au hata matokeo ya sare
ADVERTISE HERE