Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimewasili salama katika jiji la Alexandria tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya makundi dhidi ya Al Ahly
Mchezo huo utapigwa Jumamosi Februari 02, saa nne usiku kwa saa za Tanzania
Simba iliondoka jijini Dar es salaam jana ikiwa na msafara uliojumuisha wachezaji 20.
Miongoni mwa wachezaji hao ni nahodha John Bocco na Asante Kwasi ambao walikosa mchezo dhidi ya As Vital Club kutokana na majeruhi
Wachezaji waliosafiri
1. Aishi Salum Manula
2. Deogratius Munish
3. Nicholas Gyan
4. Mohammed Hussein
5. Asante Kwasi
6. Pascal Wawa
7. Juuko Murshid
8. Paul Bukaba
9. Jonas Mkude
10. James Kotei
11. Haruna Niyonzima
12. Hassan Dilunga
13. Mohamed Ibrahim
14. Clatous Chama
15. Shiza Kichuya
16. Rashid Juma
17. Adam Salamba
18. Meddie Kagere
19.Emmanuel Okwi
20.John Bocco