Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimeelekea nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya wenyeji wao Al Ahly utakaopigwa February 02 katika jiji la Alexandria
Simba imeondoka na msafara unaojumuisha wachezaji 20 pamoja na viongozi wa benchi la Ufundi



Kila la kheri Wekundu wa Msimbazi
ADVERTISE HERE