Uwanja Simba mbioni kukamilika

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jan 2019
Uwanja Simba mbioni kukamilika

Hatua ya awali ya ujenzi wa uwanja wa klabu ya Simba ulioko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam imekamilika baada ya mafundi kumaliza zoezi la kuweka mabomba ya kupitisha maji

Zoezi linalofuata ni kutandazwa kwa nyasi bandia zoezi litakalokwenda sambamba kuweka uzio kuzunguuka uwanja huo

Uwanja huo unatarajiwa kukabidhiwa kwa uongozi wa Simba mwezi wa pili ujenzi wake utakapokuwa umekamilika kabisa

Kukamilika kwa uwanja huo kutatoa ahueni kwa Simba ambayo imekuwa ikitumia gharama kubwa kukodi viwanja

Kwa sasa Simba inafanyia mazoezi yake kwenye uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’