Uongozi wa klabu ya Simba umemteua Mwanachama wa klabu hiyo Patrick Rweyemamu kuwa Meneja wa klabu ya Simba
Rweyemamu amechukua nafasi ya Robert Richard ambaye alifungiwa na TFF kutojihusisha na soka kwa mwaka mmoja akituhumiwa kutowapa taarifa wachezaji wa Simba waliopaswa kuingia kambini na timu ya Taifa
Tukio hilo lilitokea mwezi Septemba mwaka jana
ADVERTISE HERE