Ujumbe uliwafikia wachezaji wa Simba jana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Jan 2019
Ujumbe uliwafikia wachezaji wa Simba jana

Jana katika mchezo wa kusaka nafasi ya tatu kati ya Simba dhidi ya Mbao Fc, mashabiki wachache wa wekundu wa Msimbazi waliojitokeza uwanjani walionyesha hasira zao kwa wachezaji wa timu hiyo kwa kushindwa kufanya vizuri kwenye michuano ya SportPesa Cup

Mwanzoni mwa mchezo huo mashabiki walianza kwa kuishangilia Mbao Fc huku wakiwazomea wachezaji wa Simba kila walipofanya makosa

Hali hiyo ni kama iliwaongezea 'mzuka' wachezaji wa Simba walioupiga mpira 'mwingi' licha ya kushindwa kufunga bao

Baadhi ya mashabiki walibeba mabango ili kuwafikishia ujumbe wachezaji kuwaonyesha kuwa hawafurahishwi matokeo ya timu

"Mishahara mnapata, baga na pizza mnakula lakini uwanjani mnazingua," moja ya bango lilikuwa na ujumbe huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’