Okwi kurejea dimbani mapema

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Nov 2017
Okwi kurejea dimbani mapema
Daktari wa kikosi cha Simba Dk Yasin Gembe amesema matibabu ya mshambuliaji Emanuel Okwi yanasimamiwa kikamilifu ili kuhakikisha anarejea dimbani mapema.

Okwi anakabiliwa na majeraha ya enka na tayari ameshindwa kuitumikia Simba kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Prisons wiki iliyopita pia atakosa mchezo dhidi ya Lipuli kesho.

Dk Gembe amesema Simba inahakikisha Okwi anarejea dimbani haraka iwezekanavyo kwa kuwa amekuwa msaada muhimu kwenye safu ya ushambuliaji.

Okwi ndiye kinara wa upachikaji mabao ligi kuu ya Vodacom akiwa na mabao nane.

Shiza Kichuya ndiye anayemfuatia ndani ya kikosi cha Simba akiwa na mabao matano.

Mohammed Rashid wa Prisons na Obrey Chirwa wa Yanga wana mabao sita kila mmoja na wanashika nafasi ya pili.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’