Simba kujiuliza kwa Mbao Fc leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jan 2019
Simba kujiuliza kwa Mbao Fc leo

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba mchana wa leo Jumapili Januari 27 watashuka katika dimba la Taifa kuikabili Mbao Fc kwenye mchezo wa kusaka mshindi wa tatu, michuano ya SportPesa Cup

Mchezo huo utapigwa saa nane mchana ukifuatiwa na mchezo wa fainali kati ya Bandari Fc dhidi ya K. Sharks

Simba na Mbao Fc zote kutoka Tanzania zitachuana kuwania nafasi ya tatu ambapo mshindi atapata dola 7,500 ambazo ni zaidi ya Mil 18

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems huenda akautumia mchezo huo kuwapa nafasi wachezaji waliokosa michezo miwili iliyopita na pia wale walio katika majaribio

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
9h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
9h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
12h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’