Simba ilikosa bahati - Aussems

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jan 2019
Simba ilikosa bahati - Aussems

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema timu yake imepoteza mchezo dhidi ya Bandari Fc kwa kufungwa mabao 2-1 lakini ilitengeneza nafasi nyingi, bahati haikuwa upande wao.

Aussems amesema ulikuwa ni mchezo wa wazi, Bandari Fc ilitumia nafasi lakini Simba haikufanya hivyo ndio maana ikapoteza

"Tulijaribu kutengeneza nafasi lakini bahati haikuwa upande wetu, mchezo huu umepita na sasa tunajipanga na michezo iliyopo mbele yetu," amesema

Keshokutwa Simba itacheza na Mbao Fc kusaka nafasi ya tatu kabla ya kuelekea nchini Misri kuikabili Al Ahly katika mchezo wa raundi ya tatu ligi ya mabingwa barani Afrika

Mabingwa hao watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara wanashika nafasi ya tatu katika msimamo wa kundi D wakiwa na alama tatu sawa na Vita Club

Bado matumaini ya kutinga robo fainali yapo na Aussems ameipa michuano hiyo kipaumbele zaidi ya hii ya SportPesa ambayo aliitumia kujaribu wachezaji wanaotaka kusajiliwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’