Simba kucheza na Mbao Fc kusaka mshindi wa tatu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jan 2019
Simba kucheza na Mbao Fc kusaka mshindi wa tatu

Mbao Fc nayo imetolewa katika michuano ya SportPesa Cup baada ya kuchapwa kwa mikwaju ya penati 6-5 kufuatia matokeo ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya K. Sharks

Imekuwa timu ya mwisho kutoka Tanzania kuiaga michuano hiyo ambayo imeendelea kutawaliwa na timu kutoka nchini Kenya

Mapema Simba iliyokuwa inapewa nafasi ya kutwaa ubingwa iliondoshwa na Bandari Fc kwa kuchapwa mabao 2-1

Simba na Mbao Fc sasa zitacheza mchezo wa kusaka mshindi wa tatu wakati fainali ya michuano hiyo itakayopigwa keshokutwa kwenye dimba la Taifa itahusisha timu kutoka nchini Kenya, Bandari Fc dhidi ya K. Sharks

Hii itakuwa mara ya pili kwa timu za Kenya kukutana katika mchezo wa fainali michuano hiyo ikifanyika nchini Tanzania

Katika msimu wake wa kwanza, AFC Leopards na Gor Mahia zilicheza mchezo wa fainali kwenye dimba la Taifa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’