Simba kuikabili Bandari Fc saa nane mchana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jan 2019
Simba kuikabili Bandari Fc saa nane mchana

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kinashuka katika uwanja wa Taifa kuikabili Bandari Fc kwenye mchezo wa nusu fainali ya michuano ya SportPesa Cup

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa nane mchana

Simba inayopewa nafasi kubwa ya kulibakisha taji hilo hapa nchini baada ya mabingwa watetezi Gor Mahia kuondolewa, inaweza kutangulia fainali mapema tu

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems anatarajiwa kutumia kikosi chake cha kwanza kama alivyofanya kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya AFC Leopards ambapo Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1

Aidha mshambuliaji Sadney Urikhob aliyetokea nchini Namibia ambaye anafanya majaribio katika klabu ya Simba, anatarajiwa kucheza katika mchezo huo

Juzi Simba iliwajaribu wachezaji wengine wawili beki Lamine Moro na mshambuliaji Hunlede Kisimbo.

Lamine Mghana aliyetoka Buildcon ya Zambia alionyesha uwezo mzuri na ana nafasi ya kuongezwa katika kikosi cha Simba kinachoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’