Kamati ya Mashindano ya SportPesa imetupilia mbali malalamiko ya klabu ya AFC Leopards kwa Simba baada ya kumchezesha beki Lamine Moro aliye katika majaribio kwa kuwa mchezaji huyo alikuwa na leseni halali ya kushiriki michuano hiyo
Lamine alipewa leseni ya muda Januari 15 2019 yenye namba 002821M94

ADVERTISE HERE