Sadney Urikhob alikuwepo uwanja wa Taifa jana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Jan 2019
Sadney Urikhob alikuwepo uwanja wa Taifa jana

Jana Simba iliwafanyia majaribio beki Lamine Moro na mshambuliaji Hunlede Kisimbo katika mchezo dhidi ya AFC Leopards

Mshambuliaji mwingine Sadney Urikhob raia wa Namibia aliwasili jana na alikuwepo uwanja wa Taifa kuushuhudia mchezo huo ambao Simba iliondoka na ushindi wa mabao 2-1 na kutinga nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup

Bila shaka Urikhob atakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kitakachoikabili Bandari Fc kwenye mchezo wa nusu fainali utakaopigwa kesho

Simba ina nafasi mbili za kusajili wachezaji watakaoruhusiwa kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa inayoendelea Simba ikiwa inashika nafasi ya tatu kundi D

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’