Simba kamili kuikabili AFC Leoprads

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Jan 2019
Simba kamili kuikabili AFC Leoprads

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo wanashuka kwenye dimba la Taifa kuikabili AFC Leopards katika mchezo wa robo fainali SportPesa Cup

Mchezo huo utaanza saa kumi na robo jioni

Baada ya Yanga na Singida United kutolewa hapo jana, matumaini ya Watanzania yamebaki kwa Simba na Mbao Fc ambazo zinacheza leo

Mbao ambayo haipewi nafasi, itachuana na Gor Mahia katika mchezo wa mapema utakaopigwa saa nane

Simba ndio inayoangaliwa zaidi na kupewa nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu kutokana na ubora wa kikosi chake

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems anatarajiwa kuutumia mchezo huo kuwajaribu wachezaji watatu wanaotarajiwa kusajiliwa kama watafuzu majaribio

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’