Yanga, Singida United zatolewa SportPesa Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Jan 2019
Yanga, Singida United zatolewa SportPesa Cup

Yanga na Singida United zimekuwa timu za kwanza kuondoshwa kwenye michuano ya SportPesa baada ya kufungwa katika michezo yao ya robo fainali na kuziacha timu kutoka Kenya kutinga nusu fainali.

Singida United ilichapwa bao 1-0 na Bandari Fc katika mchezo wa mapema na baadae Yanga kuchapwa mabao 3-2 na Kariobang Sharks

Matumaini pekee kwa Watanzania yamebaki kwa Simba na Mbao Fc ambazo zinashuka dimbani kesho.

Mbao itachuana na mkabingwa watetezi Gor Mahia wakati Simba itamenyana na AFC Leopards

Wakati Mbao haipewi nafasi kubwa ya kuifunga Gor Mahia, Simba inabeba matumaini ya Watanzania kwenye michuano hiyo

Itakuwa aibu kwa nchi kama timu zote nne zitatolewa katika raundi ya kwanza na kuziacha timu kutoka nchini Kenya zikibaki kwenye michuano hiyo.

Kama Simba iatifunga AFC Leopards itachuana na Bandari Fc kwenye mchezo wa nusu fainali

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’