Tukikosa ubingwa msimu huu viongozi tujitafakari - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Nov 2017
Tukikosa ubingwa msimu huu viongozi tujitafakari - Manara
Mkuu wa Kitengo cha Habari klabu ya Simba Haji Manara amesema viongozi wanapaswa kujitafakari kama klabu hiyo itaukosa ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom msimu huu.

Manara amesema mwaka huu Simba ina kikosi imara kwani imekamilika kila idara na ina wachezaji wengi wanaoweza kuisaidia timu wakitokea benchi.

Amesema baada ya kuukosa ubingwa kwa misimu mitano, huu ndio mwaka wa Simba kutwaa kila taji Tanzania Bara pia kufanya vizuri kwenye michuano ya kombe la shirikisho Barani Afrika.

Manara amesisitiza kama Simba itashindwa kufikia malengo hayo basi wao kama viongozi watapashwa kujitafakari kama wanastahili kuendelea na nyadhifa zao.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’