Simba yarudi salama kutoka DR Congo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Jan 2019
Simba yarudi salama kutoka DR Congo

Kikosi cha Simba kimewasili Alfajiri ya leo Jumatatu kikitokea nchini DR Congo kuikabili AS Vital Club kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa, raundi ya pili kundi D

Simba itashiriki michuano ya SportPesa inayoanza kesho huku yenyewe ikitarajiwa kushuka dimbani keshokutwa kuikabili AFC Leopards

Mabingwa hao watetezi wa ligi kuu ya Tanzania Bara wanatarajia kutumia michuano hiyo kama sehemu ya maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa unaofuata dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Februari 02 2019

Simba inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa kundi D licha ya kuwa na alama tatu sawa na AS Vital Club yenye uwiano mzuri wa mabao

Al Ahly inaongoza kundi hilo ikiwa imejikusanyia alama nne wakati JS Saoura inaburuza mkia ikiwa na alama moja

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’