Mchezo wa AS Vital Club vs Simba kupigwa saa moja usiku

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jan 2019
Mchezo wa AS Vital Club vs Simba kupigwa saa moja usiku

Mchezo wa raundi ya pili ligi ya mabingwa barani Afrika kundi D kati ya AS Vital Club dhidi ya Simba utapigwa saa moja usiku kwa saa za Tanzania wakati huo Congo itakuwa saa 11 jioni

Mchezo huo utaonyeshwa mbashara kupitia kisimbuzi cha Azam (ZBC2)

Ni mchezo ambao Simba inahitaji ushindi au matokeo ya sare ili iweze kurejea kileleni mwa msimamo wa kundi D baada ya jana Al Ahly kulazimishwa sare ya bao 1-1 na JS Saoura

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’