Siku ya leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mkuu wa kitengo cha Habari cha klabu ya Simba Haji Manara
Manara amejijengea heshima ya kipekee katika klabu ya Simba kutokana na kujitoa kwake kuhakikisha mabingwa hao wa Tanzania Bara wanafanikiwa katika mipango yao
Yeye ndiye kinara wa uhamasishaji na amekuwa chachu ya mashabiki kwenda uwanjani kuishuhudia Simba kila inaposhuka dimbani
Tunamtakia kila la kheri, Mungu amjaalie zaidi ili aweze kutimiza ndoto zake
HAPPY BIRTHDAY HAJI MANARA!
ADVERTISE HERE