Nyoni akabidhiwa tuzo ya mchezaji bora Oktoba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Nov 2017
Nyoni akabidhiwa tuzo ya mchezaji bora Oktoba
Mlinzi kiraka wa Simba Erasto Nyoni leo amekabidhiwa tunzo yake ya mchezaji bora wa mwezi Octoba.

Nyoni amekabidhiwa tunzo hiyo na Meneja wa Simba SC Bw. Richard Robert leo katika viwanja vya polisi jijini Dar es Salaam ambapo timu ilikuwa ikiendelea na mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa jumapili hii dhidi ya Lipuli FC ya Iringa

Nyoni amekuwa nguzo muhimu katika kikosi cha Simba akitumika na kocha Joseph Omog kwenye namba tofauti tofauti.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’