Nchi imetutuma Congo - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jan 2019
Nchi imetutuma Congo - Manara

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amesema kikosi cha mabingwa hao wa Tanzania Bara kimeelekea nchini Congo kupambana wakitambua wana jukumu la kitaifa

Manara amesema wanatambua mchezo dhidi ya AS Vita Club hautakuwa mwepesi, watacheza kwa kuwaheshimu wapinzani wao lakini hawatawaogopa

"Hatuendi Congo kuuza sura wala kucheza Ndombolo, tunakwenda kwa sababu nchi imetutuma na Rais katuagiza," amesema Manara

"Tunakwenda huku tukijua Wanasimba na Watanzania nini wanataka. Sisi ni Simba na sio Mafisi, tutacheza kwa kuwaheshimu AS Vita bila kuwaogopa"

Tayari kikosi cha Simba kimeondoka kuelekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuikabili Vita Club katika mchezo ambao Simba itahitaji ushindi au hata matokeo ya sare yatafaa

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’