Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), Hamidu Mbwezeleni amefariki dunia leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu.
Rais wa TFF Wallace Karia amethibitisha kutokea kwa msiba huo na ametuma salamu za rambirambi.

ADVERTISE HERE