Bocco aikosa safari ya Congo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Jan 2019
Bocco aikosa safari ya Congo

Majeraha aliyopata katika mchezo wa kwanza dhidi ya JS Saoura yamemfanya nahodha wa kikosi cha Simba John Bocco kuachwa katika msafara unaokwenda DR Congo kucheza na Vita Club

Msafara wa wachezaji wa Simba na viongozi wakiwemo wa benchi la ufundi wanatarajiwa kuondoka kesho Alhamisi saa mbili asubuhi kuelekea Congo tayari kwa mchezo huo utakaopigwa Jumamosi, Januari 19 2019

Kikosi kitakachosafiri

1. Aishi Manula
2. Deo Munishi Dida
3. Nicholas Gyan
4. Mohamed Hussein
5. Pascal Wawa
6. Juuko Murshid
7. Paul Bukaba
8. Jonas Mkude
9. James Kotei
10. Clatous Chama
11. Hassan Dilunga
12. Haruna Niyonzima
13. Mzamiru Yassin
14. Mohamed Ibrahim
15. Shiza Kichuya
16. Rashid Juma
17. Emmanuel Okwi
18. Adam Salamba
19. Meddie Kagere

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
34m ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
14h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
18h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’