Mchezo wa Simba v Lipuli warejeshwa uwanja wa Uhuru

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Nov 2017
Mchezo wa Simba v Lipuli warejeshwa uwanja wa Uhuru
Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba SC na Lipuli ya Iringa uliokuwa uchezwe Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam umerudishwa Uwanja wa Uhuru.

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniphace Wambura amesema hayo katika mkutano na Waandishi wa Habari ofisi za shirikisho hilo zilizopo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.

Wambura alisema awali wamiliki wa Uwanja wa Uhuru walisema Jumamosi na Jumapili Uwanja huo utakuwa na shughuli nyingine, lakini jana wakawaambia Jumapili Uwanja utakuwa wazi hivyo wakaamua kuurudisha mchezo wa Simba kwenye Uwanja huo.

Mchezo wa Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons wenyewe utachezwa Chamazi kama ilivyoelezwa awali.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’