Vinara wa kundi D ligi ya mabingwa barani Afrika, Simba wanatarajiwa kuondoka Alhamis kuelekea nchini Congo DR tayari kwa mchezo wa raundi ya pili dhidi ya AS Vita
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Januari 19 huko nchini Congo.
Uongozi wa Simba umewaalika mashabiki wanaotaka kusafiri na timu kwenda kuiunga mkono huko Congo
Huu hapa mchanganuo wa gharama za safari

ADVERTISE HERE