Mchezo dhidi ya Lipuli Fc wapigwa kalenda

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jan 2019
Mchezo dhidi ya Lipuli Fc wapigwa kalenda

Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya mabingwa watetezi Simba dhidi ya Lipuli Fc ambao ulipaswa uchezwe kesho umepelekwa mbele na Bodi ya Ligi Kuu Bara ukisubiri kupangiwa tarehe nyingine

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura amesema kuna ugumu wa kupanga ratiba kutokana na timu kushiriki michuano mbalimbali.

"Kwa sasa viporo vya Simba vitapangiwa tarehe wanaweza kucheza mchezo mmoja ama miwili mwezi huu wa Kwanza Ila mwezi wa pili watakamilisha michezo yao Kwa asilimia kubwa," alisema Wambura.

Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka keshokutwa kuelekea nchini Congo kuikabili As Vita kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa, raundi ya pili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’