Simba kuifuata Vita Club Alhamisi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jan 2019
Simba kuifuata Vita Club Alhamisi

Baada ya kuanza vyema kampeni ya kutinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam Alhamisi ijayo kuelekea DR Congo tayari kwa mchezo wa raundi ya pili dhidi ya AS Vital

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Januari 19 2019

Simba inakwenda Congo kusaka japo alama moja katika mchezo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkali hasa ikizangiwa Vita Club ilipoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Al Ahly

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema kipaumbele chao ni kushinda michezo yote ya nyumbani na kuhakikisha hawafungwi kwenye michezo ya ugenini.

Ijumaa JS Saoura ambyao ililazwa mabao 3-0 na Simba katika mchezo wa kwanza, itakuwa mwenyeji wa Al Ahly inayoshika nafasi ya pili katika msimamo wa kundi D linaloongozwa na Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’