Ratiba ya VPL mzunguuko wa 11

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Nov 2017
Ratiba ya VPL mzunguuko wa 11
Ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 11 inaendelea kesho Ijumaa ambapo mchezo mmoja utapigwa. Ndanda FC itakuwa mwenyeji wa Njombe Mji.

Michezo mitano inatarajiwa kupigwa keshokutwa Jumamosi ampamo mabingwa watetezi Yanga watakuwa wenyeji wa Prisons katika mchezo utakaopigwa Azam Complex, chamazi.

Singida United itawakaribisha Mbeya City katika mchezo mwingine utakaopigwa kwenye uwanja wa Namfua, Singida.

Jijini Mwanza Mbao FC itaikariisha Mwadui FC wakati Kagera Sugar itakuwa mwenyeji wa Stand United.

Mchezo wa mwisho siku ya Jumamosi Ruvu Shooting itaikaribisha Majimaji.

Siku ya Jumapili kutakuwa na mchezo mmoja ambapo Simba itashuka dimba la Azam Complex, Chamazi kuumana na Lipuli wakati Jumatatu, Novemba 27 Azam FC itaumana na Mtibwa Sugar.

Baada ya michezo ya mzunguuko wa 11 kukamilika, ligi inatarajiwa kusimama kwa wiki mbili kupisha michuano ya kombe la Chalenji inayotarajiwa kuanza Disemba 03 nchini Kenya.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’