Bocco awashukuru mashabiki Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Jan 2019
Bocco awashukuru mashabiki Simba

Nahodha wa kikosi cha Simba John Bocco amewashukuru mashabiki wa timu hiyo kwa kujitokeza kwa wingi kuwaunga mkono katika mchezo dhidi ya JS Saoura

Bocco amesema ushindi wa mabao 3-0 waliopata leo ni matokeo ya sapoti yao pamoja na kujitoa wachezaji kwa dakika zote tisini za mchezo

Amesema walikuwa na malengo ya kushinda mchezo huo wa kwanza nyumbani, ushindi huo umewapa nguvu ya kufanya vizuri katika michezo inayofuata.

Bocco amesema alilazimika kutoka kwenye dakika ya 35 baada ya kuumia na nafasi yake kuchukuliwa na Meddie Kagere aliyefunga mabao mawili ya Simba

Amesema sasa wanajipanga kwa ajili ya mchezo unaofuata dhidi ya AS Vital utakaopigwa wiki ijayo huko DR Congo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’