MO aongeza mzuka wa ushindi Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Jan 2019
MO aongeza mzuka wa ushindi Simba

Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji 'MO' leo amewaongoza maelfu ya mashabiki wa timu hiyo katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Saoura, mchezo ambao Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0

Mo alikaa jukwaani la watu maarufu 'VIP' sambamba na mgeni rasmi wa mchezo huo Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson

Mo amehusika moja kwa moja na ushindi wa mabingwa hao wa Tanzania kwani mapema leo kabla ya mchezo alikutana na wachezaji wa Simba

Ushindi wa leo umepokewa kwa furaha na kila Mwana Msimbazi kwani ni matokeo ambayo yanaiweka Simba katika nafasi nzuri katika kuwania tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano hiyo.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’