Kwa wale watakaoshindwa kufika uwanja wa Taifa leo kuwashuhudia mabingwa wa nchi, Simba wakipepetana na JS Sauora katika mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa kundi D, wataweza kuushuhudia mchezo huo mbashara kupitia vituo vya televisheni vya Azam na DSTV
Azam TV kupitia chaneli ya ZBC 2 watakuwa mbashara saa kumi kamili jioni huku magijwi DSTV wataurusha mchezo huo kupitia SS10
Mtanange huo unaosubiriwa kwa hamu unatarajiwa kuanza saa 10:00 jioni
Tayari mashabiki wameanza kumiminika 'kwa mchina' wakisubiri kufunguliwa kwa mageti ya uwanja wa Taifa waingie uwanjani.
ADVERTISE HERE