Simba yatinga fainali kombe la Mapinduzi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jan 2019
Simba yatinga fainali kombe la Mapinduzi

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wametinga fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi baada ya kuilaza Malindi Fc kwa mikwaju ya penati 3-1 kufuatia matokeo ya 0-0 kwenye mchezo wa pili wa nusu fainali

Simba sasa itachuana na Azam Fc katika mchezo wa fainali utakaopigwa keshokutwa Jumapili katika uwanja wa Mao.

Azam ilitinga fainali kwa kuilaza KMKM mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali uliopigwa leo saa kumi jioni

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’